Vijana mbaroni Kenya kudharau bendera

NAIROBI, Kenya: POLISI nchini Kenya imewakamata vijana wawili kwa kosa la kudharau bendera ya taifa wakati wa mechi ya soka kati ya klabu ya Kenya na Somalia iliyofanyika mwishoni mwa wiki.Vijana hao walionekana wakitupa chini bendera ya Kenya na kuikanyaga, kitendo kilichosababisha hasira kubwa mitandaoni.

Wananchi wengi walidai hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao kwa kukosea heshima alama ya taifa Kufuatia tukio hilo, Balozi wa Somalia nchini Kenya alijitokeza kuomba radhi. SOMA: Kenya yashinda mara mbili Berlin Marathon

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button