Samia : Wachimbaji wadogo kuula

BABATI, Manyara : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema serikali yake itakaporejea tena madarakani kipaumbele chake kwenye madini itakuwa kwa wachimbaji wadogo ili kutengeneza ajira za vijana.
Akizungumza kwenye mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya stendi ya zamani Babati mkoani Manyara, mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan alisema sekta ya madini ni muhimu na moja ya nguzo kuu za kukuza uchumi, hivyo serikali yake imejipanga kuyapa thamani madini.
“Najua kuna maeneo ambayo leseni zilishikiliwa na wawekezaji kwa muda mrefu bila kufanya uwekezaji, tumefuta leseni zile na tumegawa maeneo kwa wachimbaji wadogo kwa hiyo tunakwenda kufanya hivi, tukishapima tukabaini maeneo, ni wachimbaji wadogo ndio kipaumbele chetu namba moja,” alisema.
Alisema ili kuendelea kuikuza sekta hiyo, serikali imejenga kituo cha pamoja cha uuzaji wa pamoja wa madini ya Tanzanite Mererani, Simanjiro ili kuhakikisha biashara inafanyika.“Vilevile tulifanya mnada wa kwanza wa Tanzanite kulekule Mererani na mnada ule ulikwenda vizuri sana na jina la Tanzania kwenye madini haya (Tanzanite) lilikwenda juu sana,” alisema. Alisema serikali yake itaendelea kuchukua hatua kuendeleza madini na kuyaongezea thamani nchini.
“Tumejipanga, mkitupa ridhaa tutaendelea kupima maeneo ya nchi na kubaini madini gani yako wapi na kwa kiasi gani, hiyo kazi tutaifanya pindi mkitupa ridhaa, tunaanza mwaka huu wa fedha mwaka unaofuata tunaendeleza,” alisema.
Kuhusu utalii, Samia alisema serikali yake imefanya jitihada kubwa kuikuza sekta hiyo na matokeo yake yanaonekana na hivyo wananchi wakiwapa ridhaa ya kuendelea kuongoza, serikali yake imepanga kuongeza idadi ya watalii kutoka milioni tano mpaka milioni nane.“Tumepanga tuongeze idadi ya watalii, sasa hivi Manyara watalii wanaitembelea hifadhi ya Tarangire na Ziwa Manyara wamefika 1,650 hatua iliyoongeza fursa za ajira na mapato pia kwa wana Manyara,” alisema.
Alisema wataendelea kutangaza na kuendeleza vivutio ili wapate watalii wengi zaidi, hivyo maombi ya wabunge wa mkoa huo ya kufungua mageti na kuongeza barabara ili utalii ukue watayabeba na kwenda kuyafanyia kazi.“Natambua kuna changamoto ya mgogoro kati ya Pori la Akiba la Mkungunero na vijiji kule Simanjiro na Kiteto, licha ya kuweka mipaka bado wananchi walikuwa wakiingia kwenye hifadhi lakini hawaingii burebure, wanafuata huduma muhimu ya maji na maeneo ya kufanyia kazi zao.
“Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, tumeelekeza kuhakikisha vijiji vilivyo jirani na hifadhi vinapata maji ya kutosha watafanyakazi (Wizara ya Miasili na Utalii) na Wizara ya Maji kuhakikisha maeneo yale yanapata maji ya kutosha na hili la maeneo ya kufanyia shughuli zao tunakwenda kulifanyia kazi ili hifadhi iendelee na shughuli zao na wananchi waendelee na maisha yao,” alisema.
Akizungumzia sekta ya kilimo, Samia alisema Mkoa wa Manyara ni wanufaika wa ujenzi wa vihenge vikubwa vya kuhifadhia mazao vyenye gharama ya Sh bilioni 18 na lengo la serikali ni kuhifadhi nafaka nyingi zaidi kwa ajili ya chakula ndani ya nchi na kufanya biashara ya nafaka, kwa sasa vihenge hivyo vinahifadhi tani 40,000. Alisema serikali imejenga bwawa na skimu ya umwagiliaji Mbulu lililogharimu Sh milioni 8.5 na imekamilika ikiwanufaisha zaidi ya wana Mbulu 2,400 wanaolima zaidi ya hekta 90.
“Tunapoendelea mbele na mkitupa ridhaa, ahadi yetu ni kuendelea kuwaletea pembejeo za mbolea na pembejeo zingine, mbegu za kisasa za ruzuku ili mzalishe zaidi,” alisema. SOMA: ADA-Tadea kuwamilikisha wachimbaji wadogo ardhi
Mwenyekiti huyo alikumbushia alichokisema Hanang kwenye mkutano wake wa juzi juu ya kutaka kuifanya Manyara izalishe ngano kitaifa. Aidha, alisema serikali ya CCM imejipanga vema na ndiyo maana imerudi kwa wananchi kuomba ridhaa ya kuongoza tena. Alisema serikali yake inajivunia kutumia fedha za ndani kufanya uchaguzi bila kutegemea msaada kutoka kwa yeyote.
Cash earning job to earns more than $300 per day. getting paid weekly more than $2300 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…
.
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com