Teknolojia kuimarisha uchumi Bara, Zanzibar

ARUSHA: SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeaihidi kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania Bara na Zanzibar kwa kutumia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania(TEMDO) ili kuongeza matumizi ya teknolojia za ndani, kukuza uchumi na kupunguza gharama kununua bidhaa nje ya nchi.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Said Seif Mzee akiwa ameambatana na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Dk,Mohamed Dhamir Kombo, wakati walipotembelea TEMDO jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Temdo, Profesa Frederick Kahimba.
Amesema serikali zote mbili zinasisitiza ushirikiano katika sekta mbalimbali zinazofanana hivyo bidhaa zinazozalishwa Temdo zikivuka mipaka zitaongeza tija kwa wakulima, sekta ya afya na viwanda ikiwemo ukuzaji wa uchumi na kusisitiza mashine ndogongo zitengenewe na kuuzwa kwa bei nafuu ili kuongeza thamani kwa wakulima haswa wa viungo wanauza bidhaa zao shambani haswa wale wa viungo badala ya kuzisaga na kuongeza thamani katika zao la kilimo
Naye, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Said Seif Mzee amesisitiza TEMDO kuzalisha mitambo ya kuongeza thamani mazao pamoja na mitambo ya kutengeneza vifungashio ili kuwawezesha Wajasiliamali wa Tanzania kuhimili ushindani katika soko na kutimiza Malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo.
Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Hashil Abdallah amesema ushirikiano huo utaongeza ufanisi wa maendeleo ya viwanda na kuongeza tija katika matumizi ya teknolojia za ndani na kuchochea uchumi wa taifa.
Kaimu mwenyekiti wa bodi ya Temdo, Profesa Lazaro Busagala
JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→ http://Www.Payathome9.Com