Mtanzania ang’ara kuogelea baharini Kenya

NAIROBI: LOLITA Borega ameibuka gumzo baada ya kung’ara katika mashindano ya AA Junior and Senior Open Water Swimming Championship yaliyofanyika Nyali Beach, Mombasa – Kenya.
Borega aliweka rekodi mbili muhimu – kuwa mchezaji mdogo zaidi na mwanamke wa kwanza kutoka Tanzania kushiriki rasmi mashindano ya aina hiyo.
Alionesha uwezo mkubwa kwa kuogelea km 1.5 kwa muda wa dakika 29:54, na kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya mbio za km 3, ambako alitumia dakika 18:24, na kuipa Tanzania pointi 4 na nafasi ya saba kati ya timu tisa.
Kwa upande wa wanaume, Rajab Khamisi aliogelea dakika 29:38, na Kabeer Lakhani dakika 31:47, wakimaliza kwa heshima licha ya kukosa Nusu Fainali.
Meneja wa timu, Ramadhan Namkoveka, alisema ushiriki huo wa kihistoria umekuwa darasa muhimu kwa Tanzania kuelewa kiwango cha kimataifa.
“Ushiriki huu umetupa mwanga wa mwelekeo wa timu yetu katika kuogelea baharini,” alisema Namkoveka, akibainisha kuwa timu sasa inajiandaa kwa mashindano yajayo.




JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com
Easy and easy job on-line from home. begin obtaining paid weekly quite $4k by simply doing this simple home job. I actually have created $4824 last week from this simple job. Its a simple and easy job to try to to and its earnings far better than regular workplace job. everyone (nhf-06) will currently get additional greenbacks on-line by simply open this link and follow directions to urge started.
Click On This Link———>>> https://www.Homeprofit1.site