Samia aagiza viongozi kuwajibika kwa wananchi

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza viongozi serikali kwa ngazi zote nchini kuanzia mawaziri hadi maafisa tarafa kuwa karibu na wananchi ili waweze kufahamu changamoto zao na kuwajibika kwao.

Ametoa agizo wakati akifungua na kuhutubia Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Novemba 14, 2025, bungeni mkoani Dodoma.

“Kwa kuwa ahadi tulizozitoa ni nyingi, matamanio ni mengi, matarajio ni makubwa na muda wa kuyatimiza haya ni mchache, tutaongeza kasi ya utekelezaji wa mipango ya serikali ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea,” amesema Rais Samia.

Amesema wananachi wanahitaji mabadiliko changa kwa maendeleo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button