KKKT waja kidijiti zaidi

DAR ES SALAAM; KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limeingia makubaliano na Kampuni ya Unicx AI Data Limited itakayoliwezesha kanisa hilo kufanya maboresho makubwa katika mifumo yake mawasiliano, data na huduma za kanisa.

Hatua hiyo kubwa na ya kihistoria katika safari ya KKKT ya kidijitali yalisainiwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la KKKT Tanzania, Rogath Mollel na Mkurugenzi wa kampuni ya Unicx AI Data Limited, Noel Mangoma, kama sehemu ya dhamira ya pamoja ya kuleta mageuzi ya teknolojia ndani ya kanisa na kwa jamii.

Aidha kupitia ushirikiano huo, KKKT inalenga kuimarisha mfumo wake wa kidijitali kwa kutumia teknolojia za kisasa kama, Data na Data Intelligent, Artificial Intelligence (AI), Connectivity, Digital Infrastructure na teknolojia nyingine muhimu za kisasa.

Akizungumza Mangoma amesema hatua hiyo inalenga kufungua milango kwa vijana wa Kitanzania wenye umahiri katika sekta ya teknolojia, na kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa kanisa la kisasa na taifa lenye uwezo mkubwa wa kidijitali.

“KKKT inatambua kwamba kizazi kipya cha wataalamu wa teknolojia kina nafasi muhimu katika mustakabali wa kanisa na jamii. Kupitia ushirikiano huu na Unicx AI, kanisa linaweka msingi imara wa mabadiliko ya kidijitali yatakayoboresha utoaji wa huduma kwa waumini kwa njia rahisi, salama, na zenye ubunifu,” amesema Mangoma.

Habari Zifananazo

4 Comments

  1. I earned $17,932 last month by working online for just 2 hours a day. This job is simple, flexible, and beginner-friendly,S1 making it accessible to everyone. It has helped me manage my finances effortlessly while focusing on my education as a full-time student.
    You can click on this the website and begin

    right away……………. https://Www.Work27.Online

  2. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

  3. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

  4. Nowadays earning money online is very easy . Eanrs every month online more than $17k by doing very easy home based job in part time u can also do this simple online Job by visiting website

    More Details For Us→→ http://www.job40.media

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button