Ukarabati wa uwanja wa ndege Tabora wafikia 98%

WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amepongeza kiwango cha kisasa cha jengo jipya la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora ambalo limekamilika kwa asilimia 98, akisema hata yeye hakutarajia kiwanja cha aina hiyo kingejengwa Tabora bali angeamini kingekuwa Ulaya.

Prof. Mbarawa amesema kukamilika kwa mradi huo ni matokeo ya juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha zaidi ya Sh bilioni 27 zinapatikana ili kuutekeleza, hatua ambayo inaendelea kuleta fursa kwa wakazi wa Tabora na Watanzania kwa ujumla. SOMA: Ujenzi viwanja vya ndege kuongeza kasi ya uchumi

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button