Dk Migiro afungua Jukwaa la Wanawake 2025

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi, Dk Asha-Rose Migiro amefungua Jukwaa la Wanawake 2025 lenye kauli mbiu ‘Mama ni Amani’, leo Desemba 4, 2025, jijini Dodoma.

Jukwaa hilo lililowakutanisha wanawake walioko kwenye makundi ya kijamii kutoka maeneo mbalimbali nchi nzima, pia lilihudhuriwa na viongozi wa dini pamoja na wageni wengine waalikwa, lengo likiwa ni kuzungumzia mchango wa wanawake katika kudumisha tunu zinazojenga misingi ya taifa na kuimarisha nchi yetu.

 

Habari Zifananazo

One Comment

  1. I am making a good salary from home $7580-$9065/week , which is amazing, under a year ago I was jobless in a horrible economy. I thank God every day I was blessed with these instructions, Definitely a try..

    See This Link………………………………….. http://Www.Cash43.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button