Rais Samia ateua Mkurugenzi Mkuu PSSSF

DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Fortunatus Magambo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu, ikimnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, imesema kabla ya uteuzi huo Magambo alikuwa Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa mfuko huo.

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button