Ado aongoza kikao sekretarieti ACT
VUGA–UNGUJA:Â Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu Ado leo ameongoza kikao cha Sekretarieti ya Chama kinachoendelea katika ofisi ndogo ya Makao Makuu Vuga Zanzibar.
đź“ŤVuga – Unguja
Tarehe 20.8.2024, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu Ado akiongoza kikao cha Sekretarieti ya Chama kinachoendelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Vuga Zanzibar.#TaifaLaWote #MaslahiYaWote#ZanzibarMpya#ZanzibarMoja#MamlakaKamili pic.twitter.com/G5nYn4rZUT
— ACTWazalendo (@ACTwazalendo) August 20, 2024
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu akiongoza kikao hicho leo.