Akaminko aongeza mkataba Azam

Azam FC wametangaza kiungo wao James Akaminko ameongeza mkataba wa utakaomuweka klabuni hapo hadi 2026.

“Bado yupo yupo sana kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026.” Imeeleza taarifa hiyo.

Akaminko ni mchezaji kwanza kuongeza mkataba ndani ya timu hiyo.

Advertisement

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *