Akutwa na uvimbe kilo 7 akidhani ujauzito

CHATO: HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) imefanikisha upasuaji wa kuondoa uvimbe wa kilogramu saba kutoka kwenye tumbo la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 44.
Mwanamke huyo ambaye jina lake linahifadhiwa amekutwa na uvimbe huo kwenye sehemu ya kizazi ambapo uchunguzi umebaini ameishi nao kwa miaka minne akidhani kuwa ni ujauzito.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Uzazi na Wanawake CZRH, Dk Oswald Lyapa ametoa taarifa hiyo na kueleza upasuaji huo umefanyika katika kambi ya kliniki maalum ya madaktari bingwa hospitalini hapo.
Amesema mgonjwa huyo alifika hospitalini akiwa na maumivu makali ambapo awali alidhani ni ujauzito na baadaye kuhusisha na imani za kishirikina hali iliyomchelewesha kupata matibabu.
Amesema hatua hiyo ni mafanikio ya kambi ya kliniki maalumu ya madaktari bingwa inayoendelea hospitalini hapo, inayolenga kuwapatia wananchi huduma za kibingwa na ubingwa bobezi.
“Mwanamke huyu ni miongoni mwa wananchi wengi wanaoendelea kujitokeza kupata huduma katika kliniki hii, ambapo madaktari bingwa wameweka kambi hospitali ya Rufaa ya Kanda
–
“Matibabu haya ni sehemu ya huduma nyingi za kibingwa na ubingwa bobezi zinazotolewa na hospitali yetu kwa wananchi wote wa mikoa ya kanda ya ziwa na mikoa Jirani” amesisitiza.
Dk Lyapa ametoa wito kwa watanzania kujenga utamaduni wa kufika hospitali mapema pale wanapohisi hali ya tofauti ili kupata vipimo na matibabu kutoka kwa madaktari bingwa.




Hii barua nzuri deadcation yake
https://youtu.be/e4hPLEYp-Mg?si=YUXsrKrktyp9Pt2J
I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com
Start making cash right now… Get more time with your family by doing jobs that only require for you to have a computer and an internet access and you can have that at your home. Start bringing up to $2700-$5700+Dollar per week . I’ve started this job and I’ve never been happier and now I am sharing it with you, so you can try it too. You can check it out here…
Here is I started_______ 𝐖𝐰𝐰.𝐅𝐢𝐧𝐝𝐉𝐨𝐛𝐬𝟏.𝐒𝐢𝐭𝐞
Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…
THIS→→→→ https://Www.FindJobs1.Site
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website……….
HERE→→→→→→→→ http://Www.Work27.Info
Making money online more than $15k just by doing simple work from home. I have received $18376 last month. Its an easy and simple job to do and its earnings are much bmoney. Everybody etter than regular office job and even a little child can do this and earns must try this job by.
just use the info on this page ====> https://Www.PayAtHome1.Com
Home earning solution for everyone to work online and received payments every week in bank acc. earns every day more than $500 and received payments every week directly in bank acc. My last month’s earning was $16390 and all i do is work for maximum 2 hrs a day on my pc. easy work and regular earning are awesome with ths job.
This →→→→→ www.today.earn54.com
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she kaz convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website
HERE————— http://www.giftpay7.vip