Magnus Mahenge

Bunge

Halmashauri zisizo na stendi za kisasa zapewa maelekezo

DODOMA; WAKURUGENZI wote nchini ambao halmashauri zao zinahitaji kujenga stendi za kisasa wanatakiwa kutenga na kuainisha maeneo ya kujenga stendi…

Soma Zaidi »
Infographics

Kampuni 35 zasajiliwa kununua pamba

DODOMA: ZAIDI ya kampuni 35 zimesajiliwa na kupewa leseni ya kununua pamba kwa utaratibu wa soko huru. Mbunge wa Maswa…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali yakusanya bil 192/- biashara mtandaoni

DODOMA; KAMPUNI 1,820 zimesajiliwa na kati ya Julai 2024 hadi Machi 2025 serikali imekusanya Sh bilioni 192.78 kutoka kwenye biashara…

Soma Zaidi »
Jamii

Wafanyabiashara Ghorofa K’koo wadai fidia Sh Bil.40

DAR ES SALAAM; WAFANYABIASHARA 50 waliokuwa wamepanga fremu katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo, Novemba 16, 2024, wamefungua kesi Mahakama…

Soma Zaidi »
Historia

Msikiti Mkuu, Kasri la Usuni vyanogesha utalii Kilwa Kisiwani

LINDI; WIKI iliyopita katika mfululilizo wa makala za utalii mkoani Lindi, tulizungumzia vivutio vya utalii vilivyoko katika Wilaya ya Kilwa.…

Soma Zaidi »
Dini

Makardinali kuanza kukutana Mei 7 kumchagua Papa

DAR ES SALAAM; MAKARDINALI 135 watakutana Mei 7, mwaka huu katika kongamano la kumchagua kiongozi wa Kanisa Katoliki. Taarifa kutoka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mahakama yaahirisha uamuzi kesi ya Lissu

DAR ES SALAAM; MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi kuhusu kesi ya kuchapisha taarifa za uongo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwisho malalamiko ya usaili TRA leo

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema leo ni mwisho wa kupokea malalamiko au ufafanuzi kuhusu matokeo ya usaili wa ajira…

Soma Zaidi »
Africa

Wadau wakutana Nairobi kujadili changamoto za wakimbizi Afrika

"Wajasiriamali na jamii za wakimbizi tayari wana vipaji na ustahimilivu. Wanahitaji tu upatikanaji wa haki wa masoko na mitaji,"

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Sheria Huduma za Habari haijatoa huruma kwa wasio na sifa’

DAR ES SALAAM; Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016, haijatoa fursa ya kuwafikiria waandishi wa habari au watu…

Soma Zaidi »
Back to top button