Antipas Kavishe

Bunge

Sababu wenye Diploma kutoswa ajira za Watendaji Vijiji

DODOMA: NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Festo Dugange ameeleza kuwa ajira za Watendaji wa Vijiji katika Utumishi wa Umma…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali yatangaza mikakati kuwalinda wanafunzi

DODOMA: SERIKALI imeeleza kuwa usalama wa wanafunzi ni kipaumbele chake kikubwa ambapo mikakati mbalimbali imekua ikitekelezwa ili kuhakikisha wanafunzi wanakuwa…

Soma Zaidi »
Bunge

Bunge lapitisha Sh Tril 3.645 ya Wizara ya Ulinzi na JKT

DODOMA. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha kiasi cha kiasi cha Sh 3,645, 912, 947,000,00 ( Trilioni 3.645)…

Soma Zaidi »
Afya

Chombo maalum ithibati huduma za afya kitadhibiti ubora

DAR ES SALAAM: Wizara ya Afya imeeleza umuhimu wa kuwa na chombo huru kitakachokuwa na jukumu la kutoa ithibati na…

Soma Zaidi »
Afya

Vipaumbele 3 vyajadiliwa afya ushirikiano Uingereza na serikali

DAR ES SALAAM: WATAALAMU wa Afya kutoka Tanzania na Uingereza leo wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili vipaumbele vitatu vya…

Soma Zaidi »
Afya

Prof. Makubi bosi mpya Benjamini Mkapa

SEOUL, KOREA: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo mkoani…

Soma Zaidi »
Jamii

SMARTDARASA kidedea mradi wa Best Design Thinking Project

NAIROBI, KENYA: SMARTDARASA imepata nafasi ya kwanza katika mradi bora wa Best Design Thinking Project kwenye fainali za Mpango wa…

Soma Zaidi »
Jamii

Kampuni ya The Guardian hatiani

ARUSHA: Kampuni ya First World Investment Court Broker ya jijini Arusha imeagizwa kukamata mali za Kampuni ya The Guardian ya…

Soma Zaidi »
Fedha

Matinyi afafanua mkopo wa Korea kwa Tanzania

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametolea ufafanuzi mkopo uliotolewa…

Soma Zaidi »
Utalii

Tanzania, Indonesia kushirikiana sekta ya Utalii

DODOMA: Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zinajipanga kushirikiana katika masuala ya utangazaji utalii, kubadilishana uzoefu katika masuala ya…

Soma Zaidi »
Back to top button