Na Selemani Nzaro

Tanzania

Waathirika vurugu za uchaguzi kutibiwa kisaikolojia

TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Nchimbi: Serikali imejizatiti kuimarisha sekta ya uchukuzi

Makamu wa Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema Serikali imejizatiti kuhakikisha Sekta ya Uchukuzi inaimarika ili kuliweka Taifa kwenye nafasi nzuri…

Soma Zaidi »
Fedha

Maadhimisho wiki huduma za fedha kitaifa kufanyika Tanga

Maadhimisho ya wiki ya huduma za fedha kitaifa yanatarajiwa kufanyika jijini Tanga Januari 19 hadi 26, 2026. Kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Mwigulu akutana na viongozi, wataalam Wizara ya Elimu

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amefanya kikao cha kazi na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, Naibu…

Soma Zaidi »
Madini

Serikali yaainisha mkakati kuendeleza wachimbaji wadogo

SERIKALI imeainisha mkakati mahsusi wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini nchini, kwa kuweka kipaumbele katika utoaji wa leseni, upatikanaji wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga yamtambulisha Depu

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji mpya Laurindo Dilson Maria Aurélio maarufu kama Depu, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha kikosi…

Soma Zaidi »
Kanda

Diwani Geita atangaza oparesheni watoto wasioripoti shule

DIWANI wa Kata ya Nyanguku Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Elias Ngole ametangaza kufanyika kwa oparesheni maalum kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Dodoma

Balozi Luhemeja amkabidhi ofisi Dk Muyungi

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk Richarid Muyungi amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waziri wa Ulinzi na JKT azindua bodi mpya ya ushauri SUMAJKT

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Rhimo Nyansaho amezindua Bodi Mpya ya Ushauri ya Shirika la Uzalishaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia aagiza viongozi watekeleze ahadi za kampeni

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi aliowateua hivi karibuni wakiwemo mawaziri na naibu mawaziri wakatekeleze kwa wakati ahadi zilizotolewa kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button