TAFITI 128 zilizolenga mada ya biashara na uchumi himilivu kwa ajili ya maendeleo jumuishi nchini Tanzania na nchi zinazoizunguka zimewasilishwa…
Soma Zaidi »Mwandishi wetu
MGODI wa Barrick North Mara umetoa leseni 13 na kufadhili mafunzo kwa wachimbaji wadogo ili waendeshe shughuli za uchimbaji. Mgodi…
Soma Zaidi »BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu…
Soma Zaidi »MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itashirikiana na wafanyabiashara kulinda biashara ili ziendelee kukua. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda…
Soma Zaidi »RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwnyi wiki hii anatarajiwa kuzindua uuzaji wa nyumba za…
Soma Zaidi »RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema hatovumilia ugomvi wa viongozi katika wizara ukiwemo wa mawaziri na makatibu wakuu. Dk…
Soma Zaidi »MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewaomba wananchi waendelee kuiunga mkono serikali kwa kuwa imetoa fedha nyingi za ujenzi…
Soma Zaidi »RAIS Samia Suluhu Hassan amewahimiza Watanzania kuendelea kuliombea Taifa ili amani, upendo, ustahimilivu na mshikamano viendelee kudumu nchini.
Soma Zaidi »DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14 amefungua rasmi Bunge la Kumi…
Soma Zaidi »DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali ya awamu ya sita imejipanga kabisa…
Soma Zaidi »









