Michael Samwel

Tanzania

TMA yatoa tahadhari kwa wakulima,wafugaji

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa maangalizo kwa sekta nyeti nchini ikiwemo kilimo, mifugo, uvuvi na usafirishaji, kufuatia…

Soma Zaidi »
Chaguzi

TEF yawasihi Watanzania kuimarisha umoja, amani

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limewaomba wananchi kusimama pamoja kama taifa, kuzungumza na kujisahihisha, ili vurugu zilizotokea Oktoba 29, mwaka…

Soma Zaidi »
Dodoma

THBUB yalaani vurugu za uchaguzi mkuu

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imelaani vurugu iliyotokea nchini kipindi cha Uchaguzi Mkuu na kusababisha vifo,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wagombea urais wataka 4R iwe sheria

WALIOKUWA wagombea wa nafasi ya urais kwa tiketi za vyama vya siasa vya upinzani wameshauri falsafa ya 4R ipitishwe na…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Dk. Mwinyi awateua wajumbe wapya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewateua wajumbe nane wa Baraza la Wawakilishi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Hemed ateuliwa tena Makamu wa Pili

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua tena Hemed Suleiman Abdulla…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Othman aanza safari ya kuimarisha chama

MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameanza ziara maalum ya siku…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Rais Mwinyi amuapisha Mwanasheria Mkuu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Zuberi Maulid ashinda kwa kishindo Spika Baraza la Wawakilishi

BARAZA la Wawakilishi Zanzibar leo limemchagua Zuberi Ali Maulid wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Spika wa Baraza hilo, baada…

Soma Zaidi »
Infographics

Rais Samia amuapisha mwanasheria mkuu wa serikali

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali…

Soma Zaidi »
Back to top button