Michael Samwel

Jamii

Wanachuo 17 mbaroni kumng’oa meno mlinzi

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kukamatwa kwa wanachuo 17 wa Chuo cha Ardhi tawi la Tabora kwa…

Soma Zaidi »
Afya

Wanawake wahimizwa kupima afya mapema

KATIKA kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, wanawake wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao mapema, hususan…

Soma Zaidi »
Gesi

Dk Gwajima ataka wanawake kutumia nishati safi kupikia

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kuhamasisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Utangazaji redio kidijiti kuanza mikoa mitano

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema huduma za maudhui ya redio kidijiti (DSB) Tanzania zitaanza mikoa mitano. Mkurugenzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mwigulu awaonya watumishi wazembe

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameonya watumishi wezi na wazembe. Dk Mwigulu alitoa onyo hilo aliposimama kusikiliza kero za wafanyabiashara…

Soma Zaidi »
Fedha

TMRC kuwawesha wananchi kupata makazi

SERIKALI imesema itaendelea kushirikiana na taasisi za fedha kuiwezesha sekta ya fedha kupata mikopo yenye gharama nafuu ili kuisaidia jamii…

Soma Zaidi »
Zanzibar

SMZ kuboresha usafiri wa anga

 SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati ya kuimarisha usafiri wa anga ikiwamo kuboresha Kiwanja cha Ndege cha Pemba.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mkandarasi kiwanda cha TSN aongezewa miezi 3

MKANDARASI anayejenga Kiwanda cha Uchapaji cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) ameongezewa miezi mitatu akamilishe kazi hiyo. Naibu Waziri…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Mradi wa Pamoja kunufaisha watu 41,000

KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said, amesema jumla ya wanufaika 41,000 kutoka…

Soma Zaidi »
Wanawake

Eng. Rose Mayembe: Sauti ya Tanzania Kimataifa katika Sekta ya Madini

KATIKA juhudi za Tanzania kuendelea kujitangaza kimataifa kupitia sekta ya madini, wanawake wa Kitanzania wameendelea kung’ara katika majukwaa mbalimbali ya…

Soma Zaidi »
Back to top button