Madaktari 30 kutoa huduma bure Ubungo

MADAKTARI 30 kutoka China wanatarajiwa kuendesha kambi maalum ya siku mbili ya kutoa huduma za afya bure kwa wananchi wa Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, mnamo Machi 28 na 29, 2026. Kambi hiyo itafanyika katika Kituo cha Biashara cha EACLC na inalenga kuwasaidia wananchi kupata uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali bila malipo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando, amesema madaktari watatoa huduma za upimaji na matibabu ya magonjwa ikiwemo kisukari, magonjwa ya moyo, saratani, shinikizo la damu, pamoja na matatizo ya viungo kama pua na masikio.

“Tunawaalika wananchi wote kujitokeza kwa wingi. Wazazi na walezi wahakikishe wanawaleta watoto wao ili wapate upimaji na matibabu bure,” alisema Msando. SOMA: JKCI waendesha uchunguzi, matibabu bure sherehe za Uhuru
Afisa Uhusiano na Habari, Linda Mtui amesema kambi hiyo haitatoa tu matibabu, bali pia ushauri wa kitaalamu kuhusu afya, pamoja na huduma maalum kwa wanawake na watoto. Ameongeza kuwa Kituo cha Biashara cha EACLC hakilengi biashara pekee, bali pia kinajali afya na ustawi wa jamii inayokihudumia.Kambi hiyo inatarajiwa kuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa Ubungo na maeneo jirani katika kuboresha afya zao.




JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com
I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com
JOIN US The finest part-time income opportunity to work on mobile or laptop earn more than $300💵 every day. In the preceding month, I earned $11,683💵 by working 3 or 4 hours every day online.
Simply visit this website for further information………………… https://Www.PayAtHome1.Com/