Shukuru Mgoba

Jamii

Baba afanya mauaji ya mtoto kisha ajinyonga

MWANAUME mmoja, Derick Mwangama (23), mkazi wa Kijiji cha Mpandapanda, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, amemuua mtoto wake Devina Derick…

Soma Zaidi »
Fedha

Mapambano ya rushwa ni jukumu la wote

MAPAMBANO dhidi ya ubadhilifu na rushwa ni jukumu la pamoja, si la mtu mmoja au serikali pekee, hivyo wananchi na…

Soma Zaidi »
Jamii

Wenyeviti waagizwa kuwa karibu na wananchi

WENYEVITI wa vijiji na vitongoji wilayani Monduli wametakiwa kuwa karibu na wananchi na kuhakikisha wanasikiliza na kutatua changamoto zao ili…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Rais Mwinyi awateua makatibu wakuu

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  amefanya uteuzi wa makatibu wakuu…

Soma Zaidi »
Utalii

Tanapa yaita wawekezaji Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

BODI ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) imeendelea kuhamasisha na kuwakaribisha wawekezaji kuja kuwekeza katika Hifadhi…

Soma Zaidi »
Biashara

Usafiri wa mwendokasi waanza Mbagala

HUDUMA za usafi ri wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kutoka Mbagala kwenda Posta na Gerezani imerejea jana baada ya kusitishwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Viongozi watakiwa kupambana wizi wa umeme

VIONGOZI wa serikali za mitaa na madiwani wametakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana na wizi wa umeme ili kuzuia uharibifu…

Soma Zaidi »
Afya

Halmashauri zitenge bajeti ya chakula mashuleni

ILI taifa lifanikiwe katika kupambana na athari za lishe duni, watoto wenye umri wa miaka sita hadi 15 wasiachwe nyuma…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Tuipe ushirikiano Tume ya Uchunguzi

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua na kuizindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na…

Soma Zaidi »
Biashara

Chongolo aahidi kutimiza malengo Wizara ya Kilimo

WAZIRI wa Kilimo, Daniel Chongolo ameieleza menejimenti na watumishi wa wizara hiyo kuwa kazi na malengo yaliyopangwa yatafi kiwa kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button