Rahimu Fadhili

Mitindo & Urembo

Nguli wa mitindo Miriam Odemba azindua kitabu maendeleo ya mitindo

DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO  nguli wa kimataifa, Miriam Odemba, amezindua kitabu chake kipya kinacholenga kuhamasisha maendeleo ya sekta ya mitindo…

Soma Zaidi »
Afya

MSD yaitembelea taasisi mwenza ya Madagascar

Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

SUA yaonesha umahiri kwenye kilimo mazao

MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeibuka kidedea kwa kuwa Mshindi wa Jumla na Mshindi wa Kwanza katika…

Soma Zaidi »
Jamii

THRDC yaleta pamoja mashirika ya kiraia, wanasheria

DAR ES SALAAM: MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeandaa mafunzo ya kitaifa ya siku mbili, yakihusisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakulima washauriwa usindikaji wa muhogo

LINDI: WAJASILIAMALI katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wameshauriwa kuhamasika na shughuli ya usindikaji wa muhogo ili kukuza…

Soma Zaidi »
Mafuta

PURA yaipongeza TPDC gesi asilia katika uchumi

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni, amesema…

Soma Zaidi »
Biashara

Wajasiriamali Tandahimba wapongeza uwepo wa Nanenane

MTWARA: BAADHI ya wajasiliamali wadogo wanawake katika Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wameipongeza serikali kwa kuendeleza maadhimisho ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Afya ya udongo muhimu kabla ya kutumia mbolea

MOROGORO: WAKULIMA wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya ya udongo kwa ajili ya kujua aina ya virubutisho vilivyopo kwenye udongo…

Soma Zaidi »
Mafuta

Kampuni za uingizaji mafuta zaongezeka

DAR ES SALAALM: Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema idadi ya kampuni zinazoshiriki kwenye mchakato wa uagizaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

THRDC yawanoa watetezi haki za watoto

DODOMA: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa mafunzo kwa washiriki 40 wanaojihusisha na utetezi wa haki…

Soma Zaidi »
Back to top button