Rahimu Fadhili

Chaguzi

Balozi Nchimbi awahutubia wananchi Kwela

KWELA: Wananchi wa Kwela wamejitokeza kumsikiliza mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, akiwasilisha Ilani ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shida ya maji Kikuku-Muleba yapotea

KAGERA: Zaidi ya wananchi 6,961 wameondokana na changamoto ya maji baada ya Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira…

Soma Zaidi »
Tanzania

Fahamu daraja linalounganisha TZ na China

Kwa kuangalia wigo na upana wa mawasiliano ya kiutamaduni, kipindi cha “Hello Chinese” kimevuka mipaka ya kijiografia na lugha, kikisambaza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanfoam Marathon kuvuta washiriki 1300

MSIMU wa pili wa mbio za riadha za Tanfoam umepangwa kufanyika Desemba 7 mwaka huu jijini Arusha huku ukirajiwa kuvuta…

Soma Zaidi »
Tanzania

Barabara Kyema – Katerero yafikia asilimia 80

KAGERA: Mradi wa Barabara inayowaunganisha wananchi wa kata Katerero, Bujugo na Kasharu unaotelezwa na Wakala ya Barabara za Mijini na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wafanyabiashara Oman watembelea viwanda Pwani

PWANI: Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman umetembelea Mkoa wa Pwani kwa lengo la kujionea shughuli za viwanda na biashara, na…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Dk Salem Al-Junaibi awasili nchini ziara ya kibiashara

TANZANIA: Mwenyekiti wa Chama cha Biashara na Viwanda cha Oman, Dk Salem Al-Junaibi na ujumbe wa wafanyabiashara wa Oman amewasili…

Soma Zaidi »
Chaguzi

NYAMOGA: Nyomi za Dk Samia ni ushahidi wa mapinduzi ya kisiasa

IRINGA: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Justine Nyamoga, amezungumzia wingi wa wananchi waliojitokeza kumsikiliza mgombea urais kupitia Chama Cha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Asilimia 99.31 wakutwa salama mikesha ya mwenge Geita

MKOA wa Geita umeweka wazi kuwa katika mikesha ya mwenge wa uhuru kuanzia Septemba 01 hadi 07 takribani asilimia 99.31…

Soma Zaidi »
Tanzania

TFS yafikia asilimia 8.3 ya upandaji miti Silayo

GEITA: WAKALA wa Huduma za Misitu Nchini (TFS) imefanikiwa kupanda miti 6,041,618 katika eneo la hekari 5,438 sawa na asilimia…

Soma Zaidi »
Back to top button