Rahimu Fadhili

Kimataifa

Mwanasheria wa Hakimi acharuka kesi ya ubakaji

PARIS: MWANASHERIA wa Achraf Hakimi, Fanny Colin, anasema kuna “ushahidi mkubwa” ambao unamuondolea tuhuma za ubakaji, huku waendesha mashtaka Ufaransa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Taasisi yadhamiria mageuzi kilimo

DODOMA: TAASISI ya Heifer International Tanzania imeonesha dhamira ya kuleta mageuzi sekta ya kilimo kupitia ubunifu, ushirikishwaji na uwezeshaji wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mudathir ni mapafu ya chui

DAR ES SALAAM: “Sijui kama mnajua ila najua hamjui kuwa madogo wa siku hizi wamekuwa hawakui watapanga sana safu ila…

Soma Zaidi »
Siasa

Barabara Kinyanambo Madibira yageuka kisu cha mgongoni kwa Kigahe

IRINGA: Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mufindi Kaskazini wamemkaba kwa maswali Mbunge anayemaliza muda wake, Exaud…

Soma Zaidi »
Siasa

Ngupula: Ninajua ‘Password’ ya changamoto barabara Mufindi Kaskazini

IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Ngupula, ameendelea na kampeni zake katika…

Soma Zaidi »
Siasa

Melabu kukomalia barabara, kiwanda cha chai Mufindi Kaskazini

Mtia nia ubunge Jimbo la Mufindi Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luqman Melabu, ameahidi kutumia ujuzi na uzoefu alionao…

Soma Zaidi »
Siasa

Mafinga moto mkali: Wagombea wamwaga sera, mshindi kupatikana kwa jasho

IRINGA: Mji wa Mafinga umekuwa kitovu cha kisiasa baada ya wagombea wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumwaga sera…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makandarasi kukutana kujadili ujenzi

DAR ES SALAAM: CHAMA cha Makandarasi na Watoa Huduma za Kikandarasi (TUCASA), kimeikumbusha serikali kuchukua hatua madhubuti kuzuia ucheleweshaji wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Gharama za kodi ziwe rafiki -Samia

PWANI: RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza Kongani ya Viwanda Kwala mkoani Pwani kuhakikisha gharama za kodi kwa wawekezaji zinakuwa rafiki…

Soma Zaidi »
Afya

41 watengenezwa mishipa kuchuja damu Mloganzila

DAR ES SALAAM: JUMLA ya watu 41 wamefanyiwa upasuaji wa kutengeneza mishipa ya kuchuja damu na wanne kupandikizwa figo katika…

Soma Zaidi »
Back to top button