Balozi Luteni Jenerali Mkingule asaini maombolezo ya Dk Lungu

Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametia saini kitabu cha maombolezo ya Rais wa 6 wa Jamhuri ya Zambia, Dk Edgar Chagwa Lungu, aliyefariki Juni 5, 2025.

Katika ujumbe wake, “Kamishna Mkuu alitoa salamu za rambirambi kwa Mhe.  Hakainde Hichilema, Rais wa Jamhuri ya Zambia, familia ya marehemu, marafiki na watu wa Zambia”

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button