Balozi Matinyi akutana na wanafunzi wa Tanzania

STOCKHOLM ,Sweden : BALOZI wa Tanzania nchini Sweden,Mobhare Matinyi (katikati aliyekunja mikono), akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wapya wa Tanzania waliokuja kusoma shahada za uzamili katika fani mbalimbali nchini Sweden katika muhula wa mwaka 2025/26.
Kushoto kabisa ni maafisa watano wa Ubalozi wa Tanzania. Balozi Matinyi aliwaandalia wanafunzi hao hafla fupi katika makazi yake jijini Stockholm leo Jumapili tarehe 21 Septemba, 2025, ili kuwaeleza umuhimu wa kutumia maarifa na fursa waliopata kwa faida ya taifa (Picha kwa hisani ya Ubalozi). SOMA: Balozi Matinyi awasilisha hati za utambulisho kwa Mfalme Gustaf
Google paid $220 an hour on the internet. My close relative has been without labor for nine months and the earlier month her compensation check was 25k by working at home for 10 hours a day….. Everybody must try this job now by just use this link
COPY THIS→→→→ http://Www.Work99.Site