Barabara kilomita 24.5 zafunguliwa Zanzibar

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni -Bwejuu yenye urefu wa Kilomita 24.5 iliyoko Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Wiki ya shamrashamra za kusherekea Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya awamu ya nane madarakani.

Habari Zifananazo

Back to top button