Beki João Cancelo atarejea Manchester City kutoka Bayern bila kipengele cha manunuiz cha pauni milioni 70 ( €70m ).
City wanapanga kumuuza Cancelo msimu wa joto kwani wanataka kupata faida zaidi.
Bayern kwa sasa wako kimya, wakisubiri mkurugenzi mpya kuamuliwa mara baada ya mapinduzi katika bodi.
Imeripotiwa Arsenal inamthamini João Cancelo, ni miongoni mwa majina kwenye orodha ya wanaotakiwa ila hakuna kilichoendelea.
Barcelona wana nia ya dhati ya kumnunua João kwani tayari walimtaka Januari mwaka jana lakini itategemea hali haki za kifedha.
Comments are closed.