Afya

Wabunge wapitisha bajeti Wizara ya Afya

DODOMA; WABUNGE leo Juni 3, 2025 wamepitisha bajeti ya Wizara ya Afya yenye makadirio ya Sh 1,618,191,235,000.00, ili kuweza kutekeleza…

Soma Zaidi »

Sheria Bima ya Afya kwa wote kuanza 2025/26

DODOMA; WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote utaanza kwenye bajeti ya…

Soma Zaidi »

‘Tutapambana kuhakikisha mifumo hospitali isomane’

WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema wizara yake itapambana kuhakikisha mifumo ya vipimo vinavyofanywa kwa wagonjwa visomane katika hospitali zote…

Soma Zaidi »

Wakulima Moro watumia mbegu za soya kuzalisha maziwa

MOROGORO: WAKULIMA wa vijiji vinne vya Mkoa wa Morogoro wameanzisha miradi ya uchakataji maziwa yanayotokana na mbegu za soya kwa…

Soma Zaidi »

NIMR yaja na utafiti wenye virusi vya Ukimwi, kisukari

DODOMA; TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imeendelea na utafiti wa kuzuia ugonjwa wa kisukari, ambapo…

Soma Zaidi »

Vituo 73 vyasajiliwa huduma kuchuja damu

DODOMA; SERIKALI imesema hadi kufikia mwezi Machi 2025 jumla ya vituo 73 vimesajiliwa kutoa huduma ya kuchuja damu katika mikoa…

Soma Zaidi »

Asilimia 15 Watanzania wanaishi na vinasaba selimundu

DODOMA; SERIKALI imesema Tanzania ni miongoni mwa nchi tano duniani zinazoongoza kwa idadi kubwa ya ugonjwa wa selimundu, ambapo asilimia…

Soma Zaidi »

Rasmi Novemba 17 Siku ya Watoto Njiti Duniani

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza rasmi kuijumuisha Novemba 17 katika kalenda yake ya kimataifa kama Siku…

Soma Zaidi »

Elimu yahitajika vihatarishi mahala pa kazi

DAR ES SALAAM: WAFANYAKAZI kutoka taasisi mbalimbali wametakiwa kupata elimu namna ya kudhibiti vihatarishi katika maeneo ya kazi ili kutimiza…

Soma Zaidi »

Vifo huduma za dharura vyapungua asilimia 40

DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) kupitia Kitengo chake cha Huduma za Dharura, imefanikiwa kupunguza vifo vinavyotokana na…

Soma Zaidi »
Back to top button