Afya

Watumishi Moi wakumbushwa maadili, lugha za staha

DODOMA: WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamekumbushwa kufanya kazi kwa uadilifu, kutumia lugha za staha…

Soma Zaidi »

JKCI yafanikisha matibabu Afrika

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) tangu kuanzishwa mwaka 2015 imeokoa maisha ya zaidi ya watu…

Soma Zaidi »

Mbio za Meru Pazuri kusaidia watoto njiti

ARUSHA: MBIO za Meru Pazuri maalumu kwa ajili ya kusaidia watoto wanaozaliwa njiti zitafanyika Septemba 21, 2025 wilayani Arumeru mkoani…

Soma Zaidi »

Msongamano wa wagonjwa wapungua hospitali wilaya ya Geita

GEITA: HALMASHAURI ya Wilaya ya Geita mkoani Geita imepokea na kutumia kiasi cha fedha sh 893.43 kwa ajili ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Utoro wa madaktari Pemba wapungua

PEMBA : TATIZO la utoro wa madaktari katika Kisiwa cha Pemba limepungua kwa kiwango kikubwa baada ya Serikali kuwajengea makazi…

Soma Zaidi »

SMZ yapongezwa uwekezaji sekta ya afya

KIZIMKAZI, ZANZIBAR: WAKAZI wa Kizimkazi Mkunguni wameeleza furaha na fahari yao kufuatia upatikanaji wa huduma bora za afya kupitia Kituo…

Soma Zaidi »

Njaa yazidisha utapiamlo Afrika

LONDON: SHIRIKA la kimataifa la hisani kwa watoto, Save the Children, limesema kuwa takribani nchi nne za Afrika zinatarajiwa kukumbwa…

Soma Zaidi »

DCEA yazidi kushirikiana kimataifa

NASHVILLE : TANZANIA imeingia makubaliano ya kimataifa na nchi zinazozalisha kwa wingi kemikali bashirifu ili kudhibiti matumizi yake katika utengenezaji…

Soma Zaidi »

Mapafu ya nguruwe kupandikizwa binadamu

GUANGZHOU:MADAKTARI Bingwa nchini China wamefanikiwa kupandikiza mapafu kutoka kwa nguruwe kwenda kwa binadamu.

Soma Zaidi »

Mlanguzi wa dawa za kulevya akamatwa

MEXICO: ALIYEKUWA kiongozi wa magendo nchini Mexico, Ismael “El Mayo” Zambada, amekiri kushiriki katika vitendo vya ulanguzi wa dawa za…

Soma Zaidi »
Back to top button