Afya

MOI kuanzisha benki ya mifupa

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuanzisha benki ya mifupa ambayo itakidhi mahitaji…

Soma Zaidi »

Wananchi 850+ Katavi wapatiwa matibabu bure

KATAVI: Zaidi ya wananchi 850 waliokuwa wakisumbuliwa na maradhi mbalimbali wamepatiwa huduma za matibabu na uchunguzi wa afya bila malipo…

Soma Zaidi »

Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo 

DAR ES SALAAM: Katika jitihada za kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata huduma za kibingwa bobezi nchini, Serikali imezindua kitabu cha safari…

Soma Zaidi »

Taasisi zapewa somo ziwajibike kwa jamii

DODOMA; Mwenza wa Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, Mama Neema Nchemba amehimiza aaasisi za umma na binafsi kuendelea kuunga mkono juhudi…

Soma Zaidi »

Wananchi waipongeza serikali ujenzi kituo cha afya Kinole

MOROGORO: WANANCHI wa Kata ya Kinole, Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wameipongeza Serikali kwa ujenzi wa Kituo…

Soma Zaidi »

Utunzaji salama vimelea wasisitizwa

WATAALAMU wa maabara nchini wametakiwa kuzingatia kwa umakini mkubwa maadili na viapo vya taaluma yao ili kulinda jamii dhidi ya…

Soma Zaidi »

Serikali yaendelea kuimarisha utayari kukabili dharura za afya

MOROGORO: SERIKALI kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) kupitia ufadhili wa Pandemic Fund imeendelea kutoa mafunzo maalumu ya…

Soma Zaidi »

Katavi wanufaika huduma za afya za kibingwa bure

KATAVI; Wananchi wa Mkoa wa Katavi wamepongeza hatua ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN)…

Soma Zaidi »

Mkakati maalumu kuwanasa wauguzi jeuri

GEITA: SERIKALI mkoani Geita imetangaza mpango rasmi wa kupokea taarifa za wauguzi na watumishi wa afya wanaofanya vitendo visivyo vya…

Soma Zaidi »

Wagonjwa 823 kufanyiwa upasuaji macho

JUMLA ya  wagonjwa 823 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho katika kambi maalum ya madaktari bigwa iliyowekwa na Serikali…

Soma Zaidi »
Back to top button