Fedha

Kishindo uzinduzi SGR Tanzania, Burundi

SERIKALI ya Tanzania na ya Burundi zimeunganisha nguvu na kuzindua ujenzi wa mradi mkubwa na kwanza Afrika Mashariki wa kuunganisha…

Soma Zaidi »

Malipo kieletroniki kupunguzwa kodi

KIGOMA: MAMLAKA ya Mapato (TRA) imesema wananchi watakaofanya manunuzi ya bidhaa kwa njia za kielektroniki ikiwemo benki na mitandao ya…

Soma Zaidi »

State Oil yachangia Sh Mil 500 harambee CCM

DAR ES SALAAM; Kampuni ya Usafirishaji wa Mafuta nchini ya State Oil, imechangia Sh milioni 500 katika harambee ya Chama…

Soma Zaidi »

Jafo: Kuzuia wageni biashara 15 si ubaguzi

SERIKALI imesema amri ya kuzuia wasio raia wa Tanzania kufanya biashara za aina 15 si ubaguzi na haiwazuii kuwekeza nchini.…

Soma Zaidi »

TADB yamshukuru Rais Samia kuiwezesha kukuza mtaji

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), imemshukuru Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza katika uwezeshaji wakulima…

Soma Zaidi »

DART yasaini mikataba kuleta mabasi 932

DAR ES SALAAM; WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), umesaini mikataba na watoa huduma binafsi kwa ajili ya kuleta mabasi…

Soma Zaidi »

Samia: EACLC itachochea ufanisi Bandari Dar

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) ni…

Soma Zaidi »

Matukio mbalimbali ufunguzi kituo cha EACLC

DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika…

Soma Zaidi »

Rais Samia azindua rasmi usafirishaji mizigo kwa SGR

PWANI; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa treni ya umeme…

Soma Zaidi »

Rais Samia aweka baraka Kongani ya viwanda Kwala

PWANI; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya…

Soma Zaidi »
Back to top button