Uchumi

Safari SGR zarejea rasmi, Mbarawa asema ni salama

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetoa ratiba ya safari za treni ya kisasa ya SGR baada ya serikali kutan gaza…

Soma Zaidi »

Wachumi waeleza mbinu ‘kutoboa’ Januari

WATAALAMU wa uchumi wametoa ushauri wa namna ya kukabiliana na hali ngumu ya kifedha mwezi Januari ikiwamo kuweka akiba mapema…

Soma Zaidi »

Miradi ya kimkakati iliyotikisa mwaka 2025

DAR ES SALAAM; MWAKA 2025 utaendelea kukumbukwa kama kipindi cha kihistoria kilicholeta mageuzi makubwa katika sekta ya usafirishaji na miundombinu…

Soma Zaidi »

TISEZA yavunja rekodi, yasajili miradi ya dola bilioni 10

BAGAMOYO: MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imevunja rekodi kwa kusajili jumla ya miradi 915 yenye…

Soma Zaidi »

Suluhu changamoto kumi za biashara kwa wazalishaji dawa

DESEMBA 29 makala haya ya JOHN MAPEPELE chini ya kichwa cha habari: ‘Mwanga wa Matumaini Sekta ya Dawa Tanzania’ yalikuwa…

Soma Zaidi »

Uwekezaji Bandari ya Tanga wazaa matunda, fursa lukuki

UWEKEZAJI uliofanywa na serikali katika Bandari ya Tanga umeanza kuleta tija kutokana na ongezeko la shehena za mizigo kutoka mataifa…

Soma Zaidi »

Balozi Omar aeleza umuhimu sekta ya bima kiuchumi

WAZIRI wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar amesema sekta ya bima ina mchango mkubwa kukuza uchumi wa taifa hususani kulinda…

Soma Zaidi »

Ziara ya Balozi nchini Malawi yaibua fursa, kusisimua uwekezaji

KATIKA mwambao wenye utulivu wa Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma, eneo ambalo mara nyingi husimuliwa kwa mandhari yake ya kuvutia, rasilimali…

Soma Zaidi »

Dawa ya msongamano wa malori mpakani Tunduma ‘inazidi kuiva’

“TUNASHUKURU serikali imejitahidi kupitia vikao mbalimbali, wakiwemo wadau mbalimbali ambao ni madereva na matunda tunayaona. Luzicargo na tenki (malori ya…

Soma Zaidi »

‘Simamieni ushindani wa haki, msiumize walaji’

DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, amelitaka Baraza la Ushindani (FCT) kuendelea kulinda na kusimamia…

Soma Zaidi »
Back to top button