Uchumi

Dhahabu, nafaka, utalii vyapaisha mauzo nje

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka. Taarifa ya Tathmini ya Uchumi ya BoT…

Soma Zaidi »

Miaka 10 ya TBPL, kilimo, afya mambo safi

PWANI: SERIKALI imesema Kiwanda cha Tanzania Biotech Products Ltd (TBPL) kimekuwa nguzo muhimu katika sekta ya afya na kilimo kwa…

Soma Zaidi »

NEEC: Wananchi wanapaswa kupata fursa sawa kiuchumi

DAR ES SALAAM: Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesema wananchi wote wanapaswa kupata fursa sawa za kiuchumi ili…

Soma Zaidi »

Korosho Marathon 2025 yaiva

MTWARA; BODI ya Korosho kwa kushirikiana na Kampuni ya Makanjiro imeandaa Korosho Marathon 2025 kwa nia ya kuchangisha fedha kununua…

Soma Zaidi »

SMZ kuimarisha uchumi wa buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Rais Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya sekta…

Soma Zaidi »

Bandari Mtwara yapokea mafuta kwenda nchi jirani

BANDARI ya Mtwara imeanza kupokea meli zenye mzigo wa mafuta ambayo husafirishwa kwenda Zambia, Malawi na Burundi. Meneja wa Bandari…

Soma Zaidi »

Usawa wa kikodi na mageuzi ya kiuchumi Tanzania

USAWA wa kikodi ni msingi muhimu wa haki ya kiuchumi na maendeleo jumuishi unaotenda haki kuwezesha serikali kukusanya mapato bila…

Soma Zaidi »

Mbaroni kwa kukwepa kodi ya bil 2.5/-

IRINGA: Mfanyabiashara wa mbao kutoka Mafinga, Mosses John Madege, mwenye usajili wa TIN namba 130299024, anadaiwa kukwepa kodi ya Sh…

Soma Zaidi »

BoT, Mtwara wajadili uchumi, uwekezaji

GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, pamoja…

Soma Zaidi »

Serikali ilivyofanya mageuzi sekta ya maji

MAJI ni uhai ni kauli ambayo imekuwa ikisemwa na watu wengi kuonesha umuhimu wa maji katika maisha ya Watanzania. Pia…

Soma Zaidi »
Back to top button