Uwekezajia

Jafo: Kuzuia wageni biashara 15 si ubaguzi

SERIKALI imesema amri ya kuzuia wasio raia wa Tanzania kufanya biashara za aina 15 si ubaguzi na haiwazuii kuwekeza nchini.…

Soma Zaidi »

Handeni Mji yaalika awekezaji kuwekeza mradi wa kuchakata mawe

TANGA: HALMASHAURI ya Mji Handeni, mkoani Tanga, imetoa wito kwa wawekezaji kujitokeza kuwekeza katika mradi wa kuchakata mawe na kokoto…

Soma Zaidi »

TADB yamshukuru Rais Samia kuiwezesha kukuza mtaji

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), imemshukuru Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza katika uwezeshaji wakulima…

Soma Zaidi »

DART yasaini mikataba kuleta mabasi 932

DAR ES SALAAM; WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), umesaini mikataba na watoa huduma binafsi kwa ajili ya kuleta mabasi…

Soma Zaidi »

Samia: EACLC itachochea ufanisi Bandari Dar

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) ni…

Soma Zaidi »

Matukio mbalimbali ufunguzi kituo cha EACLC

DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu akutana na Rais wa Afreximbank

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi »

Rais Samia azindua rasmi usafirishaji mizigo kwa SGR

PWANI; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa treni ya umeme…

Soma Zaidi »

Rais Samia aweka baraka Kongani ya viwanda Kwala

PWANI; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya…

Soma Zaidi »

Serikali yaita wawekezaji ujenzi wa makazi mil 3.8

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi kuwekeza katika…

Soma Zaidi »
Back to top button