Featured

Featured posts

Samia: Vijana lindeni amani

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameagiza vijana walinde amani na waipende nchi yao.…

Soma Zaidi »

ACT Wazalendo kuongeza thamani ya bidhaa

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT–Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema serikali atakayoiongoza itaweka mkazo katika kuzipa thamani bidhaa…

Soma Zaidi »

Hemed aahidi kufufua michezo Kiwani

MGOMBEA wa Uwakilishi Jimbo la Kiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hemed Suleiman Abdulla, amesema Serikali ya Awamu ya Nane…

Soma Zaidi »

Mwinyi kufanya mageuzi ya kilimo

MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuinua uchumi wa wakulima na…

Soma Zaidi »

Samia atoa somo wanaodharau wanawake

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametaka watu wasibeze kuongozwa na rais mwanamke, kwani…

Soma Zaidi »

Tuwekeze kwenye soka la watoto kitaalamu

NDOTO za Taifa Stars kuwa moja kati ya timu nne zitakazopata nafasi ya kucheza mechi za mchujo kuwaniakufuzu fainali za…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa trilioni 3.5/-kuwezesha vijana kiuchumi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imefanikiwa kutoa Sh trilioni 3.5 kufi kia mwaka 2024 kwa ajili ya uwezeshaji wa…

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi aongoza dua maalumu ya amani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na walimu wa madrasa, masheikh na…

Soma Zaidi »

Kikwete aibuka, asema sijakufa, nipo salama

RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amebainisha kuwa kitendo cha kuanika ukweli kuhusu maendeleo makubwa yaliyofanywa…

Soma Zaidi »

Tuache chokochoko tudumishe amani

MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha uzalendo na kuitunza tunu ya amani iliyopo…

Soma Zaidi »
Back to top button