Featured

Featured posts

Mawakili 300 kushiriki mafunzo ya umahiri

KATIKA kukuza sekta ya sheria nchini, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeandaa mafunzo kwa mawakili wote wa serikali nchini…

Soma Zaidi »

Tanzania yawa darasa udhibiti mihadarati

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita…

Soma Zaidi »

Serikali ‘yapewa tano’ kuimarisha uhusiano kimataifa

WACHAMBUZI wa siasa na diplomasia wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuimairisha uhusiano na mataifa mengine na kuiwezesha nchi…

Soma Zaidi »

Serikali yavuna bil 3/- madini miezi 8 Kagera

MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali…

Soma Zaidi »

Awamu ya Sita yapongezwa kukuza uchumi

SERIKALI ya Awamu ya Sita imepongezwa kwa kukuza uchumi wa nchi. Hivi karibuni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),…

Soma Zaidi »

Hongera Rais Samia, umeweza, tusonge mbele

RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatimiza miaka minne ya uongozi wake wa Awamu ya Sita tangu alipoapishwa Machi 19, 2021…

Soma Zaidi »

‘Kazi Iendelee’ yatajwa chachu ya mafanikio

WADAU na wachambuzi wa masuala ya maendeleo wamesema kaulimbiu ya ‘Kazi Iendelee’ inayotumiwa na Serikali ya Awamu ya Sita imekuwa…

Soma Zaidi »

Miaka minne ya nguvu

SERIKALI ya Awamu ya Sita imepata mafanikio katika kuboresha huduma za jamii zikiwamo za afya, elimu, maji na kupunguza kiwango…

Soma Zaidi »

Watumishi madini wahimizwa uadilifu, maadili

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi wa wizara hiyo kuzingatia uadilifu na maadali katika…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Toeni mafunzo yanayozingatia soko la ajira

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini kutoa mafunzo yanayozingatia mahitaji…

Soma Zaidi »
Back to top button