Featured

Featured posts

Maadhimisho miaka 100 chimbuko la Bunge yaja

DAR ES SALAAM; BUNGE la Tanzania linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 100 ya chimbuko la bunge hilo. Kauli hiyo imetolewa…

Soma Zaidi ยป

Shangwe la ubingwa Yanga

DAR ES SALAAM; SHANGWE la ubingwa. Yanga wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu…

Soma Zaidi ยป

DIPLOMASIA YA MADINI

MAHENGE โ€” Kabla hata mgodi wa kinywe wa Mahenge haujaanza kuzalisha tani moja ya madini, dalili za mabadiliko tayari zinaonekana…

Soma Zaidi ยป

Mavunde: Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini Afrika

DAR ES SALAAMย โ€”Serikali imeweka mkakati wa kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji na uongezaji thamani wa madini barani Afrika kupitia…

Soma Zaidi ยป

Waziri Sangu ataka waajiri watumie msamaha tozo ย NSSF

DAR ES SALAAM; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, ametaka waajiri nchini…

Soma Zaidi ยป

WRRB yaanza utekelezaji agizo la Waziri Mkuu

BODI ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dk…

Soma Zaidi ยป

Yanga yavuliwa ubingwa Mwanza

MWANZA; Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2026/27 ni kati ya Simba na Azam FC, baada ya Azam FC…

Soma Zaidi ยป

Simba yatangulia fainali kibabe

ARUSHA;Simba ya Dar es Salaam imetinga kibabe fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, baada ya kuitandika Coastal Union ya…

Soma Zaidi ยป

Tamasha la watoto wanaoishi mazingira magumu laiva

KILIMANJARO; Zaidi ya watoto 2,000 wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kushiriki Tamasha la Kwanza la Michezo litakalofanyika Juni 21, 2026…

Soma Zaidi ยป

Kamanda wa Polisi Tabora afariki dunia

TABORA; Kamandawa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa kwenye matibabu Hospitali ya…

Soma Zaidi ยป
Back to top button