Featured

Featured posts

Wakongomani wawe wamoja kutafuta amani ya kudumu DRC

JUHUDI mbalimbali za kuleta amani na utulivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zinaendelea katika sehemu mbalimbali za…

Soma Zaidi »

Samia apaisha watalii, mapato Selous

JUHUDI za Rais Samia Suluhu Hassan za kutangaza utalii kupitia filamu ya Tanzania: The Royal Tour zimeongeza idadi ya watalii…

Soma Zaidi »

Serikali yaita wawekezaji ujenzi wa makazi mil 3.8

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi kuwekeza katika…

Soma Zaidi »

Mizigo SGR neema kwa nchi

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema kusafirisha mizigo kwa Reli ya Kisasa (SGR) kuna manufaa makubwa kwa nchi. Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Kumekucha jogoo limewika Dodoma!

DODOMA; Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Mhe. Dk Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati…

Soma Zaidi »

Waziri Kabudi ateua wajumbe Bodi TSN

DAR ES SALAAM; WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amefanya uteuzi wa wajumbe sita wa Bodi…

Soma Zaidi »

Dar inasukwa!

DAR ES SALAAM; Ujenzi wa daraja la Mkwajuni Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam ukiendelea ikiwa ni sehemu ya…

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

OKTOBA 29, 2025 ndiyo siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Madiwani kwa…

Soma Zaidi »

Mfumo wa ufundishaji mbashara kutumika sekondari nchi nzima

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema serikali imejipanga kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Mwanamke mbaroni tuhuma kuchinja watoto watatu wa mke mwenzake

WAKAZI wawili wa Mkoa wa Ruvuma wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhumu za mauaji, akiwemo Wende Luchagula (30) anayetuhumiwa…

Soma Zaidi »
Back to top button