Featured

Featured posts

Watumishi 34 washinda rufaa

TUME ya Utumishi wa Umma imepokea rufaa na malalamiko 108 ya watumishi wa umma dhidi ya waajiri, mamlaka za ajira…

Soma Zaidi »

Mitambo 8 kukabili shida ya maji Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema serikali inaendelea na maboresho ya  miundombinu ya maji ikiwemo kufunga…

Soma Zaidi »

Masoud: Ushindi upo mkapige kura

MGOMBEA Urais wa ACT Wazalendo ahitimisha Kampeni Pemba Kwa hamasa na shangwe Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Mheshimiwa Othman Masoud…

Soma Zaidi »

Beatrice ang’ara, Top 5 Miss Grand 2025

MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2025 yaliyomalizika nchini Thailand, Beatrice Alex Akyoo, amefanikiwa kupeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »

CCM yaahidi kukabili wanyama waharibifu

MOROGORO: MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema kuwa endapo CCM itapewa ridhaa…

Soma Zaidi »

Kocha Yanga afukuzwa usiku

DAR ES SALAAM; MUDA mfupi baada ya Yanga kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Silver Strikers ya Malawi mchezo…

Soma Zaidi »

Yanga yatota Malawi

MALAWI; Yanga ya Dar es Salaam imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Silver Strikers ya Malawi katika mchezo wa…

Soma Zaidi »

CCM kuifanya hospitali ya Mkapa kuwa ya kimataifa

MOROGORO: Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Serikali ya CCM imepanga kuibadilisha Hospitali ya Benjamin Mkapa…

Soma Zaidi »

Odinga bingwa wa demokrasia -Obama

KENYA: Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amempongeza kiongozi wa muda mrefu wa upinzani nchini Kenya na Waziri Mkuu…

Soma Zaidi »

Omollo atoa wito wa amani Kenya

KENYA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Usalama wa Ndani ya Kenya, Raymond Omollo amewataka wananchi wa Kisumu na Wakenya kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button