Featured

Featured posts

Mafanikio ya Tanzania EAC ni matunda ya sera madhubuti

TAARIFA ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabiti Kombo, iliyowasilishwa bungeni kuhusu mafanikio…

Soma Zaidi »

Dodoma tayari kwa mabalozi, serikali yatoa viwanja bure

JUMUIYA ya wanadiplomasia nchini imetakiwa kufi kisha taarifa katika serikali za nchi zao kuwa Dodoma ipo tayari na kuwa zinatakiwa…

Soma Zaidi »

Samia aridhia ajira mpya 300 TRA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kuongeza nafasi za ajira 300 katika mamlaka…

Soma Zaidi »

Mkutano Mkuu CCM kuanza leo

MKUTANO Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaanza leo Dodoma. Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na wajumbe takribani 2,000 katika…

Soma Zaidi »

Simba watafuna kiporo cha Singida

DAR ES SALAAM; MAMBO yanazidi kuwa matamu kwa Simba kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kushinda bao 1-0…

Soma Zaidi »

Dk Mpango akutana na Rais wa AfDB

Soma Zaidi »

‘Demokrasia haijengwi kwa kuvuruga amani’

“Demokrasia ni gharama, lakini amani, usalama, ulinzi na utulivu wa nchi yetu ni gharama sana.” Anasema Mbunge wa Viti Maalumu…

Soma Zaidi »

Samia abariki ujenzi Makao Makuu CCM

DAR ES SALAAM; Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ameweka jiwe la msingi,…

Soma Zaidi »

Majaliwa akutana na viongozi Wizara ya Ardhi Japan, JAIDA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan, Hiromasa Nakano kwenye Makao Mkuu…

Soma Zaidi »

TIC yabainisha inavyotoa elimu ya uwekezaji

KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinatoa elimu ya uwekezaji kwa watu mbalimbali wakiwamo mabalozi wanaokwenda kuwakilisha Tanzania nje ya nchi.…

Soma Zaidi »
Back to top button