Infographics

Mpogolo: Wahusika mauaji ya mzee Salehe wakamatwe

DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa…

Soma Zaidi »

TRC yaongeza safari, mabehewa

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeongeza safari za treni na kuongeza mabehewa katika safari za reli ya kisasa (SGR), reli…

Soma Zaidi »

Wahariri wafundwa kuhusu Muungano

DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamadi Yussuf Masauni amesema waandishi wa habari wanawajibu…

Soma Zaidi »

Shemdoe: Stendi Kuu Arusha ikamilike Mei 2026

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza Mkandarasi…

Soma Zaidi »

Serikali yajizatiti kukabili upungufu wa maji Dar, Pwani

DAR ES SALAAM: Serikali itaendelea kuchukua hatua zote za dharura kuhakikisha mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inaendelea kupata…

Soma Zaidi »

Walanguzi tiketi za abiria kikaangoni

GEITA: JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani limekemea vikali tabia ya mawakala wa mabasi ya abiria kufanya ulanguzi wa…

Soma Zaidi »

Makalla awafikia bajaji, bodaboda

IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumatatu Desemba 15, 2025 ameongoza kikao cha kusikiliza kero…

Soma Zaidi »

RC Kheri: Haki ni chanzo cha amani na maendeleo

IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema umoja na mshikamano wa Watanzania, amani ya nchi na maendeleo yanayoonekana…

Soma Zaidi »

PICHA: Matukio mkutano wa 9 mkuu majeshi ya ulinzi

  TANGA: Matukio mbalimbali wakati wa Mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na makamanda uliofanyika katika Shule…

Soma Zaidi »

Gereza la Kibondo labuni mkaa mbadala nishati safi

KIGOMA: JESHI la Magereza wilayani Kibondo mkoani Kigoma limeanza kutumia mkaa mbadala unaotokana na mchanganyiko wa maranda ya miti na…

Soma Zaidi »
Back to top button