Infographics

Mwanza wahimiza uchaguzi wa amani

Zikiwa zimesalia siku nne kufanyika kwa uchaguzi mkuu, Oktoba 29, 2025, makundi mbalimbali yamekusanyika mkoani Mwanza kuhimiza wananchi kujitokeza huku…

Soma Zaidi »

JMAT yasisitiza vijana kudumisha amani

MRATIBU Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) na Balozi wa Amani Taasisi ya Wanawake Nchini Korea Kusini ,Fatma Fredrick…

Soma Zaidi »

Bandari Zanzibar mabingwa wapya wa soka ‘interpplort games 2025’

TIMU ya soka ya Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC),imetwaa ubingwa wa Michezo ya 18 ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari…

Soma Zaidi »

Watafiti wapendekeza huduma za maji na umeme bure

IRINGA:Utafiti uliofanyika mwaka 2022 na wataalamu wa Quanah Schools kwa kushirikiana na vyuo mbalimbali nchini, umebaini kuwa huduma za maji…

Soma Zaidi »

Sekou Toure yapongeza mafanikio ya sekta ya afya

MWANZA: HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa Sekou toure imempongeza Rais wa Jamuhuri y Muungano Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa…

Soma Zaidi »

Mwanza ipo salama uchaguzi mkuu

MWANZA: KAIMU mkuu wa mkoa wa Mwanza Amir Mkalipa ambaye pia ni mkuu wa Wilaya ya Ilemela amewahakikisha kuwa wakazi…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini Kusini wataka ulinzi, amani upigaji kura

VIONGOZI wa dini mbalimbali kutoka mikoa ya Kanda ya Kusini wamewataka vijana nchini kuendelea kulinda amani ya Taifa, kuacha kutegemea…

Soma Zaidi »

HESLB yafafanua waliopata mikopo

Na John Mhala,Arusha WANAFUNZI 135,240 wa vyuo vikuu na kati hapa nchini wenye sifa stahiki na waliodahiliwa na vyuo vyao…

Soma Zaidi »

Wakili Ambindwile: Tujaze sanduku la kura kwa Samia na Mwinyi

IRINGA: Wakili maarufu na kada shupavu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Moses Ambindwile, ametoa wito kwa Watanzania wote kujitokeza kwa…

Soma Zaidi »

Vijana Mwanza wahamasishwa uchaguzi mkuu

MWANZA: VIJANA nchini wameshauriwa kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 ili waweze kupiga kura ikiwa ni sehemu…

Soma Zaidi »
Back to top button