Infographics

Jiwe la Litembo, mto uliogeuka damu na historia ya Wamatengo 

RUVUMA; Ni majira ya mchana wa saa saba, mimi na timu yangu tunapoingia katika Kijiji cha Litembo, Kata ya Litembo…

Soma Zaidi »

Tamasha nyimbo za dini kubadili vijana kimaadili

TAMASHA la uimbaji wa nyimbo za dini kwa vijana kutoka Makao Makuu ya Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria…

Soma Zaidi »

Wakandarasi walioshinda zabuni wakabidhiwa maeneo ya mradi

KAGERA: Wakandarasi walioshinda zabuni ya kutekeleza miradi ya TACTICS Manispaa ya Bukoba yenye thamani ya Sh bilioni 40, wamekakabidhiwa maeneo…

Soma Zaidi »

WB kuja na mradi wa umeme Uganda hadi Tanzania

DODOMA: Benki ya Dunia (WB) imeeleza kuwa itatoa fedha za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme…

Soma Zaidi »

Jonathan Budju kuachia mpya julai 25

MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili anayeishi nchini Canada, Jonathan Budju, anatarajia kuachia rasmi albamu yake fupi (EP) iitwayo Ebenezer…

Soma Zaidi »

Wakandarasi Tanga watakiwa kumaliza kazi kwa wakati

TANGA; Wakandarasi wanaotekeleza mradi wa Hatifungani wa uboreshwaji wa miundombinu ya maji Jiji la Tanga, wametakiwa kuhakikisha mradi unakuwa wenye…

Soma Zaidi »

Umoja wa Mataifa walikubali jeshi la JWTZ

AFRIKA YA KATI: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuthibitisha umahiri na uaminifu wake katika operesheni za…

Soma Zaidi »

Sirro ataka juhudi zaidi vita dhidi ya ukatili

KIGOMA; MKUU wa mkoa Kigoma, Balozi Simon Sirro ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Kigoma kuongeza juhudi katika kushughulikia masuala…

Soma Zaidi »

Waratibu Tasaf kusimamia fedha za miradi

TANGA: Waratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Tanga wametakiwa kusimamia miradi ya miundombinu inayotekelezwa na mradi huo…

Soma Zaidi »

Umoja vituo, klabu za mazoezi waanzishwa Arusha

ARUSHA: KLABU na vituo vya mazoezi jijini Arusha zimeazimia kuanzisha umoja wenye lengo la kuongeza Ushirikiano katika kuhamasisha na kuiongoza…

Soma Zaidi »
Back to top button