Infographics

Samia aongoza kikao Kamati Kuu Dodoma

DODOMA: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati…

Soma Zaidi »

Mradi utafiti wa utamaduni, ubunifu kuzinduliwa Dar

DAR ES SALAAM:Serikali kwa kushirikiana na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Bora Initiative inatarajia kuzindua mradi mpya wa utafiti…

Soma Zaidi »

Yanga, Dodoma Jiji wakwama kupiga kura TFF

TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga…

Soma Zaidi »

Mahakama kutoa amri J’tatu ushahidi ‘live’ kesi ya Lissu

DAR ES SALAAM; MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Agosti 18,2025 itatoa amri kuhusu kurushwa mubashara kwa maelezo ya mashahidi…

Soma Zaidi »

Yas yajivunia mchango sekta ya kilimo

DODOMA; KUPITIA Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma, Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd ameeleza namna Yas inavyochangia…

Soma Zaidi »

Marekani yaamua kutoza Afrika dhamana

MAREKANI : WIZARA ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba raia kutoka Zambia na Malawi watalazimika kulipia dhamana ya…

Soma Zaidi »

Madaktari waongezeka kwenye Ithibati

DAR ES SALAAM; Dk Cosmas Mwaisobwa, Msaidizi wa Makamu wa Rais (hotuba) amepokea Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Presscard) kutoka…

Soma Zaidi »

RC Mtwara ataka wananchi wawezeshwe fursa Nanenane

LINDI; MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawal,a amewataka wakurungezi watendaji na viongozi wa wilaya za mikoa ya Mtwara…

Soma Zaidi »

Rose Tweve na Nancy Nyalusi wapata ushindi wa kishindo ubunge UWT Iringa

IRINGA: Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Iringa imeandika historia nyingine baada ya kuwasafishia njia wabunge…

Soma Zaidi »

Mbio nishati safi zaiva Arusha

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi amewaaalika wananchi mbalimbali kujitokeza kushiriki mbio za riadha za Nishati Safi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button