Infographics

Dk Mpango: Tulinde amani kumuenzi Nyerere

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema ni muhimu Watanzania walinde amani kumuenzi Baba wa Taifa, Julius Nyerere. Dk Mpango…

Soma Zaidi »

Sirro ahimiza masomo ya sayansi sekondari

KIGOMA: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amewataka wazazi mkoani Kigoma kuhamasisha watoto wao kuyapenda masomo ya sayansi…

Soma Zaidi »

TRA yapania kuboresha huduma kwa wafanyabiashara

KATAVI; Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Katavi imeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa lengo la kusikiliza maoni, changamoto…

Soma Zaidi »

Majaliwa kufungua Wiki ya Vijana Kitaifa Mbeya

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuzindua Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2025, Oktoba 10 yanayofanyika kwenye viwanja vya Uhindini…

Soma Zaidi »

Kairuki aahidi kusimamia ujenzi shule mpya

DAR ES SALAAM: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki amesema endapo…

Soma Zaidi »

Ngajilo kuvitambua vilabu vya pombe kama chanzo cha uchumi Iringa Mjini

IRINGA:: Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CCM, Fadhili Ngajilo, amesema ni wakati wa kuviheshimu vilabu…

Soma Zaidi »

Miti yatajwa kuwa kinga dhidi ya joto kali

WATAFITI nchini Tanzania wamebaini ushahidi mpya unaoonyesha kuwa uwepo wa miti katika mashamba ya mazao yaani kilimo mseto (agroforestry) ni…

Soma Zaidi »

JK: Samia atapata kura za kihistoria Pwani

PWANI : RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan atapata…

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi aongoza mamia kumzika Abbas Mwinyi

ZANZIBAR :,RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi wa Serikali ya…

Soma Zaidi »

Rais Samia akimfariji Dk. Mwinyi

ZANZIBAR : RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. Samia Suluhu  Hassan  akiongozana na viongozi wengine wa Serikali ya…

Soma Zaidi »
Back to top button