Infographics

Rais Samia azungumza wagombea vyama vya siasa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Wagombea wa Nafasi ya…

Soma Zaidi »

Polisi yakemea propaganda ajali mgodi Msasa -Geita

JESHI la Polisi mkoani Geita limewatahadharisha wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Msasa wilayani Bukombe mkoani Geita kuepuka propaganda za uchochezi…

Soma Zaidi »

Tanzania kuwa kitovu uzalishaji viwandani Afrika

DODOMA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum, amesema Tanzania ina utajiri wa rasilimali za madini…

Soma Zaidi »

Masauni ataka NEMC ipewe helkopta, awaonya wanaochafua mazingira 

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais; Muungano na Mazingira, Hamad Yusuf Masauni, amesema Baraza la…

Soma Zaidi »

Mshindi wa mil 10/- aahidi kujenga msikiti

DAR ES SALAAM: Mshindi wa hundi ya Sh milioni 10 Umriya Omari amesema fedha hizo atazielekeza katika ujenzi wa kujenga…

Soma Zaidi »

TRA yasisitiza makadirio kwa wakati

DAR ES SALAAM: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amewataka walipakodi ambao bado hawajafanyiwa makadirio ya…

Soma Zaidi »

Spika Zungu aitisha kikao cha dharura

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura…

Soma Zaidi »

Kapinga ataja mafanikio ushirikiano Tanzania, China

CHINA: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema kuwa mafanikio ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na China…

Soma Zaidi »

Watoto yatima Busara Orphanage wapewa tabasamu Eid El-Fitr

DAR ES SALAAM: Watoto yatima wapatao 30 kutoka kituo cha Busara Orphanage Center kilichopo Kibada, Kigamboni, wamepata fursa ya kipekee…

Soma Zaidi »

Mbunge Kyela akabidhi gari huduma za jamii

MBEYA: Mbunge wa Jimbo la Kyela, Baraka Mwamengo, amenunua gari lenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 50 na kulikabidhi…

Soma Zaidi »
Back to top button