Jamii

Chalamila arudisha tabasamu kwa Alice

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi Alice Nyamwiza Haule, mjane wa marehemu Justus Rugaibula, hati ya…

Soma Zaidi »

Beatrice ang’ara, Top 5 Miss Grand 2025

MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2025 yaliyomalizika nchini Thailand, Beatrice Alex Akyoo, amefanikiwa kupeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »

Serikali kuendelea kuwezesha makundi ya kijamii kiuchumi

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa makundi ya kijamii kushiriki kikamilifu katika shughuli…

Soma Zaidi »

SUA yapata miradi 36 yenye thamani Bil.10.5

CHUO  Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA ) kimeeleza kuwa hadi kufikia Oktoba mwaka huu  miradi mipya ya utafiti 36…

Soma Zaidi »

Tumezima mwenge tumuenzi Nyerere

MWENGE wa Uhuru uliowashwa Aprili 2, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na kuzungushwa nchini ukiwa na Kaulimbiu,…

Soma Zaidi »

Michelle Obama : Nguvu ya Mwanamke Katika Ndoa, Elimu na Siasa

KUTOKA mitaa ya Chicago hadi Ikulu ya Marekani, Michelle LaVaughn Robinson Obama ameendelea kuwa kielelezo cha mwanamke jasiri, mwenye maono…

Soma Zaidi »

Shujaa wa Demokrasia Ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025

DUNIA imeelekeza macho yake Venezuela, ambako sauti ya mwanamke jasiri imekuwa alama ya matumaini mapya. María Corina Machado, kiongozi wa…

Soma Zaidi »

Kampeni kufuta taarifa za kizushi iwe endelevu

KATIKA dunia ya sasa yenye kasi kubwa ya teknolojia, mawasiliano yamekuwa rahisi kupitia simu janja, mitandao ya kijamii na majukwaa…

Soma Zaidi »

Waandishi wapewa nguvu kukemea ukatili mtandaoni

SHIRIKA la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF Tanzania) kwa kushirikiana na GIZ limeendesha kambi maalum ya mafunzo…

Soma Zaidi »

Dk Samia na rekodi mbili kubwa Tanzania

UNAPOMTAJA Dk Samia Suluhu Hassan, unazungumzia Rais wa Awamu ya Sita wa Tanzania. Yapo mambo mengi unaweza kuyaweka kwenye historia…

Soma Zaidi »
Back to top button