Jamii

Familia: Hatukukaidi agizo la RC Dar

DAR ES SALAAM: Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuagiza wanafamilia wa David Mushi wakamatwe…

Soma Zaidi »

Mambo yameiva Tanzania Fashion Festival

DAR ES SALAAM:  Jukwaa la ubunifu wa mavazi nchini maarufu kama Tanzania Fashion Festival, msimu wa saba litafanyika Septemba 26,…

Soma Zaidi »

Matatani wakidaiwa kukutwa na shehena ya mbegu zilizoibwa

MBEYA; JESHI la Polisi mkoa wa Mbeya limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na shehena ya mbegu za mahindi…

Soma Zaidi »

TBS yatoa mafunzo ya viwango Maonesho ya Madini Lindi

LINDI; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuwa karibu na wajasiriamali wadogo nchini kwa kutoa elimu kuhusu viwango na ubora…

Soma Zaidi »

Kopwe: Mashariki ilinifungulia njia kuwa Miss Tanzania

PWANI:  MISS Tanzania 2022, Halima Kopwe, amesema ushiriki wake katika mashindano ya Miss Kanda ya Mashariki ulikuwa hatua muhimu katika…

Soma Zaidi »

Miss Kanda ya Mashariki waanzisha mwendo

PWANI: Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Khadija Nassir Ali, amesema serikali itaendelea kuunga mkono mashindano ya Miss Tanzania kwa kuwa…

Soma Zaidi »

Mbeya wajiweka sawa kukabiliana na El Nino

MBEYA; SERIKALI imetoa vifaa vya ujenzi wa barabara kwa ajili ya maandalizi ya kukabiliana na mvua za El Niño mkoani…

Soma Zaidi »

Umasikini, elimu, imani potofu vinavyochochea udumavu Katavi

KATAVI; Udumavu kwa watoto mkoani Katavi hauchangiwi na sababu moja pekee. Ushahidi kutoka kwa wazazi, wataalamu wa afya na viongozi…

Soma Zaidi »

Namtumbo mambo safi matumizi nishati safi

RUVUMA; Kampuni ya Oryx Gas imekabidhi mitungi ya gesi 600 na vifaa vyake kwa wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani…

Soma Zaidi »

MsingiTek kunufaisha zaidi ya wanafunzi 13,000 Shinyanga

SHINYANGA: Kiwango cha kujua stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) kinatarajiwa kuongezeka huko Shinyanga baada ya kuzinduliwa rasmi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button