Jamii

Serikali Shinyanga yaahidi kusaidia watoto yatima

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita ametoa ahadi kwa watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kuwanunulia sare za…

Soma Zaidi »

Mwigulu aagiza watumishi Temesa wafutwe kazi

DAR ES SAALM; WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameagiza watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) waliohusika na ubadhirifu…

Soma Zaidi »

Bonde la Pangani  mambo safi Mradi WAA

KILIMANJARO; BONDE  la Pangani limechaguliwa rasmi kuwa sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Tathmini na Uhakiki wa Rasilimali za Maji…

Soma Zaidi »

Mila, desturi zatajwa kuwa muhimu kwa maendeleo

KIGOMA: JAMII mkoani Kigoma imetakiwa kuendelea kuwafundisha vijana mila, utamaduni na desturi za jamii husika kama njia ya kuchochea maendeleo…

Soma Zaidi »

Waomba mazingira bora zaidi elimu jumuishi

WADAU wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu wameiomba Serikali kujenga vituo vya ubainishaji na upimaji kwa watoto wenye ulemavu na…

Soma Zaidi »

Wazee mil 1.2 wapewa vitambulisho matibabu bure

SERIKALI imefanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure na bima za afya kwa wazee 1,256,544 na inaendelea kutoa huduma za…

Soma Zaidi »

‘Simamieni ushindani wa haki, msiumize walaji’

DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, amelitaka Baraza la Ushindani (FCT) kuendelea kulinda na kusimamia…

Soma Zaidi »

Wahitimu ustawi wa jamii watakiwa kuwa wabunifu

DAR ES SALAAM; WAHITIMU wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW),  wametakiwa kuwa wabunifu na kubadilisha elimu ya huduma za…

Soma Zaidi »

Maji yaongezeka Mto Ruvu

BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu (WRBWB) imeeleza kuwa hali ya wingi wa maji katika Mto Ruvu inaendelea kuimarika kufuatia…

Soma Zaidi »

Wanawake wanavyohimiza amani kulilinda taifa

BAADA ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 kupita, serikali imesisitiza kuwa inachukua hatua ya maridhiano kuhakikisha mazungumzo…

Soma Zaidi »
Back to top button