Urithi

Miji mikongwe; Fahari inayoitambulisha Tanzania kimataifa

TANZANIA ni nchi iliyobarikiwa vivutio vingi tofauti ikiwemo wanyamapori, mali kale, utamaduni, misitu, milima na fukwe za bahari. Mbali na…

Soma Zaidi »

Sheria ya uchaguzi inavyosisitiza umuhimu wa kudumisha amani, utulivu

SHERIA ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2024 inaelekeza namna ya kudumisha na kuenzi amani na utulivu…

Soma Zaidi »

Machifu wamkabidhi Samia Utemi wa Taifa

MACHIFU kutoka maeneo mbalimbali nchini wamewasilisha maombi kwa Rais Samia Suluhu Hassan, wakimtambua kama Chifu Hangaya, wakiomba kuwa mlezi wa…

Soma Zaidi »

Rais Samia ashiriki Tamasha la Bulabo

MWANZA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, akishiriki Tamasha la Kiutamaduni la Bulabo, katika Uwanja wa Bulabo, Kisesa, Magu…

Soma Zaidi »

MWONGOZO WA MALEZI: Msingi wa urithi wa familia bora

MALEZI ya Watoto katika familia ni suala linalohitaji kupewa kipaumbele na wazazi, walezi, familia, jamii na taifa kwa ujumla kwa…

Soma Zaidi »

NYANI: Wanyama ‘wanaoabudu ndoa za mitala’

“WANYAMA hawa (nyani) asubuhi wanapoamka kabla ya kuanza majukumu yao, ni lazima kwenda kumsalimia dume ambaye ni kiongozi wa familia…

Soma Zaidi »

Gugu karoti tishio kwa ikolojia, wanyamapori

“GUGU Karoti ni tishio kwa uoto wa asili, malisho ya mifugo na maisha ya wanyamapori. Kwa msingi huo, ushirikiano wa…

Soma Zaidi »

Wanyama waharibifu, wakali ‘wawekwa mtegoni’

TANZANIA imebarikiwa kuwa na maliasili nyingi wakiwamo wanyamapori ambao wamekuwa sehemu ya vivutio vya utalii nchini na kuliingizia taifa mabilioni…

Soma Zaidi »

Nyuki; huzaliwa hadi kufa bila mapenzi

AKIWA Dodoma Mei 17, 2025 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana alitoa taarifa kuhusu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa…

Soma Zaidi »

NYUMBU: Uhamaji na uwezo ‘kushikilia mimba’ siku 90 bila kuzaa

NYUMBU ni wanyamapori wanaopatikana kwa wingi katika mbuga na hifadhi mbalimbali nchini. Hawa ni wanyama wanaodhaniwa na baadhi ya watu…

Soma Zaidi »
Back to top button